Baadhi ya Walimu kutoka KIKOSI cha Usalama Barabarani wakati wa Wiki ya Nenda kwa Usalama iliyofanyika Tanga mwaka jana.
Kamanda wa Polisi Kikosi cha Usalama Barabarani Tanzania, DCP-Mohammed Mpinga(kulia) akisikiliza maelekezo kutoka kwa wanafunzi waliokuwa wakielimisha kupitia michoro ya barabara katika Taaluma ya Masuala ya Barabarani iliyofanyika TANGA.
Baadhi ya Askari wa Usalama Barabarani wakiwa kwenye wiki ya Nenda kwa Usalama Barabarani MKOANI TANGA.
No comments:
Post a Comment